Usanifu majengo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d nimeunganisha maelezo kuhusu msanifu na maelezo kuhusu msanifu wa kwanza
 
Mstari 5:
'''Usanifu majengo''' ni [[sanaa]] na [[sayansi]] ya kubuni [[muundo]] na sura ya [[jengo|majengo]]. Sanaa na sayansi hii inajumuisha pia mambo kama [[mipango miji]], usanifu wa eneo la kujenga, na hata [[ubunifu]] wa [[samani]] zitakazotumika ndani ya jengo.
 
Watu wanaojihusisha na haya huitwa "wasanifu majengo". Wanahitaji [[elimu]] ya [[ujenzi]], [[hesabu]], [[sanaa]], [[teknolojia]], [[elimu jamii]] na [[historia]]. Msanifu wa kwanza anayejulikana kwa jina ni [[Imhotep]] wa [[Misri ya Kale]].
 
Mbinu za usanifu hutegemea teknolojia inayopatikana, [[hali ya hewa]], hali ya [[jamii]], utaratibu wa [[siasa]] yake, hali ya [[uchumi]] na mengine mengine.
 
Nchi na [[utamaduni|tamaduni]] mbalimbali ziliunda aina tofauti za usanifu majengo.
 
Msanifu wa kwanza anayejulikana kwa jina ni [[Imhotep]] wa [[Misri ya Kale]].
 
{{mbegu-utamaduni}}