Ruvu (Pwani) : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 20:
'''Ruvu''', iliyoitwa zamani '''Kingani''' pia,<ref>Linganisha makala "Kingani" katika [[Kamusi ya Koloni za Kijerumani]]: ''"Kingani oder Ruwu (d. i. Fluß)"'' - yaani Kingani au Ruvu (maanake mto)"</ref> ni [[mto]] wa [[Mkoa wa Morogoro]] na [[Mkoa wa Pwani]] nchini [[Tanzania]].
Unapokea hasa [[maji]] ya upande wa [[mashariki]] wa [[milima]] ya [[Uluguru]] na kuyapeleka [[Bahari Hindi]]. Ruvu hii haina uhusiano na [[mto Jipe Ruvu]] upande wa [[Kilimanjaro]] / [[Upare]].
==Beseni
[[Beseni]]
Ndani yake kuna maeneo matatu ya utiririshaji yaani, Ruvu ya Juu, [[mto Ngerengere|Ngerengere]] na Ruvu ya Chini. Ruvu ya Juu inapokea maji kutoka mtelemko wa [[mashariki]] wa Uluguru, Ngerengere kutoka mtelemko wa [[magharibi]] na Ruvu ya chini kutoka milima mingine.
[[Tabianchi]] ya beseni inabadilika kati ya mahali na mahali; milima ya juu hupokea [[mvua]] zaidi kuliko [[tambarare]] za chini. [[Mwezi (wakati)|Mwezi]] unaoleta mvua nyingi ni [[Aprili]].
|