Rufiji (mto) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Rufiji''' ni [[mto]] mkubwa wa [[Tanzania]]. [[Chanzo (mto)|Chanzo]] kiko Tanzania ya [[kusini]]-[[magharibi]] katika maungano ya [[tawimito]] ya [[mto Kilombero]] na [[mto Luwegu]].
 
Unafikia [[Bahari Hindi]] kwa njia ya [[delta]] yake takriban [[km]] 200 kusini kwa [[Dar es Salaam]] karibu na [[kisiwa cha Mafia]]. [[Urefu]] wa Rufiji ni takriban km 600.