Mtihani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Mtihani ni kitu ambacho mtu anapimwa kutokana na alichokisoma au alichofundishwa ili atambuliwe kwamba alielewa au hakuelewa. au Ni kipimo cha maish...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:51, 27 Agosti 2017

Mtihani ni kitu ambacho mtu anapimwa kutokana na alichokisoma au alichofundishwa ili atambuliwe kwamba alielewa au hakuelewa.

           au

Ni kipimo cha maisha kutokana na ulichojifunza Katika shule mwanafunzi hupimwa na walimu wake juu ya kile walichomfundisha ili kumjua kama anaelewa au haelewi Mitihani yawezakuwa migumu au mirahisi kutokana na mwanafunzi mwenyewe kama huwa hajisomei ataiona migumu na kama anajisomea ataiona mirahisi hatakama mwalimu alitunga migumu kiasi gani Sifa za mwanafunzi :

1) Mwanafunzi kama hajaelewa anatakiwa kuuòiza bila ya kuogopa kupigwa 2)Anatakiwa kuwaheshimu walimuj na wanafunzi wenzake ili ajenge upendo baina yao 3)Ajenge ushirikiano na wenzake katika kufanya kazi walizopewa 4)Kama amepewa mtihani asimsaidie/asisaidiwe maana ni kipimo cha uelewa wao 5)Mwanafunzi anatakiwa afanye kazi alizopewa kwa muda aliopangiwa bila kuchelewa Mwanafunzi akifaulu mtihani tunasema kuwa alielewa na hupewa zawadi na walimu na wazazi wao nyumbani kama pongezi ,hivyo basi mwanafunzi anapopewa zawadi hujijengea kwamba ili apewe zawadi inambidi asome kwa bidii sana .Katika shule huwa na mashindano ya wanafunzi ili waweze kumpata wa kwanza kati yao.Mitihani hutungwa na walimu wenyewe .Huwa na mtihani wa robo mhula ,nusu mhula na mtihani wa mwisho. Katika mitihani asilimia kubwa ya wanafunzi huwa na woga ndio maana hupew mitihani mashuleni ili waizoee.Nchini Tanzania kuna mtihani wa taifa mtihani huo humvusha mwanafunzi katika daraja alilopo na kwenda katika hatua nyingine (kutoka shule ya msingi kweda sekondori,kutoka sekondari kwenda kwenda chuo kikuu na hatimaye kufaulu na kutimiza malengo yako)

             FAIDA ZA MITIHANI

1)Kwanza humfanya mtu azoee kitu fulani 2)Humwondolea mwanafunzi uwoga juu ya kitu anachokifanya ,n.k Ili tufaulu mitihani tunatakiwa tusome sana na kwa bidii juhudi kubwa sana.