Dwight D. Eisenhower : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Tazamia pia: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|sv}} using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Dwight_D._Eisenhower,_official_Presidential_portrait.jpg|thumb|300px|Eisenhower kama Rais wa Marekani]]
'''Dwight David Eisenhower''' ([[14 Oktoba]] [[1890]] – [[28 Machi]] [[1969]]) alikuwa mwanajeshi na mwanasiasa kutoka nchi ya [[Marekani]]. Watu wengi walikuwa humwita '''Ike''' (tamka Aik). Wakati wa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] alikuwa jenerali mkuu aliyeongoza [[uvamizi wa Normandy]] tarehe [[5 Juni]] [[1944]]. Kuanzia mwaka wa [[1953]] hadi [[1961]] alikuwa Rais wa 34 wa Marekani. Kaimu Rais wake alikuwa [[Richard Nixon]].