Imani sahihi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|[[Kanuni ya Imani ya Nisea ni kigezo kimojawapo cha kupimia usahihi wa imani katika Ukristo.]] '''Imani sahihi''' (kwa Kiin...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Nicaea icon.jpg|thumb|[[Kanuni ya Imani ya Nisea]] ni kigezo kimojawapo cha kupimia usahihi wa imani katika [[Ukristo]].]]
'''Imani sahihi''' (kwa [[Kiingereza]] '''Orthodoxy''', (kutoka maneno ya [[Kigiriki]] ''orthos'' + ''doxa''),<ref name = "Dict">orthodox. Dictionary.com. Online Etymology Dictionary. Douglas Harper, Historian. [http://dictionary.reference.com/browse/orthodox Dictionary Definition] (accessed: March 03, 2008).</ref>) ni msimamo unaokubali mafundisho sanifu ya [[dini]] fulani, tofauti na yale ya wachache.<ref>orthodox. Dictionary.com. The American Heritage Dictionary of the English Language, Fourth Edition. Houghton Mifflin Company, 2004. [http://dictionary.reference.com/browse/orthodox Dictionary definition] (accessed: March 03, 2008).</ref>
 
Umuhimu wa jambo hilo unasisitizwa hasa katika dini inayokiri [[umoja]] wa [[Mungu]], lakini si katika dini nyingine kama zile za [[jadi]] au za [[miungu]] miungu.
 
Katika [[Ukristo]], inamaanisha kwa kawaida kukubali [[imani]] kama ilivyofundishwa na [[mitaguso ya kiekumene]] katika [[karne]] za kwanza za dini hiyo dhidi ya [[uzushi]] wa aina mbalimbali.<ref name = "Dict" />
 
==Historia==
Matumizi ya [[neno]] hilo yanashuhudiwa kwanza na [[Codex Iustinianus]] (Mkusanyo wa [[Justiniani I]]) ya miaka [[529]]-[[534]], inayodai ma[[dayosisi|jimbo]] yote [[duniani]] yawekwe chini ya ma[[askofu]] waliokubali [[kanuni ya imani]] ya [[mtaguso mkuu]] wa [[Mtaguso I wa Nisea|wa Nisea]]<ref>[http://www.perseus.tufts.edu/hopper/text?doc=Perseus%3Atext%3A1999.04.0057%3Aentry%3Do%29rqo%2Fdocos Liddell & Scott]; [http://www.freewebs.com/vitaphone1/history/justinianc.html Code of Justinian]: "We direct that all Catholic churches, throughout the entire world, shall be placed under the control of the orthodox bishops who have embraced the [[Nicene Creed]]."</ref> but "heterodoxy" was in use from the beginning of the first century of Christianity.<ref>[http://books.google.com/books?id=BwWzi_omhrAC&pg=PA342&lpg=PA342&dq=Jostein+heterodox+heresy&source=bl&ots=Nz3fcWksCR&sig=aLGL8M-5spdnUcCKuQ8bOVLY_dg&hl=en&sa=X&ei=WvdzUOHABYXAhAfU1oCoCg&redir_esc=y#v=onepage&q=Jostein%20heterodox%20heresy&f=false Jostein Ådna (editor), ''The Formation of the Early Church'' (Mohr Siebeck 2005 ISBN 978-316148561-9), p. 342]</ref>
 
Baada ya [[farakano la mwaka [[1054]] kati ya [[Kanisa la Kilatini]] na [[Makanisa ya Mashariki]] ambayo yalikuwa bado na [[ushirika]] na [[Papa]] wa [[Roma]], ingawa pande zote mbili ziliendelea kujiona ya ''Kiorthodoksi'' na ya [[Katoliki|Kikatoliki]], polepole neno la kwanza limekuwa likitumiwa zaidi na [[Ukristo wa Mashariki]] na lile la pili na [[Ukristo wa Magharibi]].
 
== Tanbihi==