Tofauti kati ya marekesbisho "Baraza la mawaziri Tanzania"

no edit summary
Mikutano ya baraza inaongozwa na Rais kama [[mwenyekiti]], kama hayupo na Makamu wa Rais, na kama wote wawili hawapo na Waziri Mkuu.<ref>[http://www.judiciary.go.tz/downloads/constitution.pdf Katiba ya Tanzania, fungu 54]</ref>
 
Serikali iliyopo ilitangazwa na [[John Magufuli]], rais wa tano wa Tanzania baada ya [[uchaguzi mkuu wa tarehe 25 Oktoba 2015|uchaguzi mkuu wa Oktoba 2015]] mnamo tarehe [[10 Desemba]] [[2015]]. Isipokuwa nafasi 4 zilichelewa kutajwa majina hadi tarehe 23 Desemba, na hapo waliingia <nowiki>[[Jumanne Maghembe]]</nowiki>, <nowiki>[[Philip Mpango]]</nowiki>, <nowiki>[[Gerson Lwenge]]</nowiki> na <nowiki>[[Joyce Ndalichako]]</nowiki>. Siku hiyohiyo <nowiki>[[Makame Mbarawa]]</nowiki> alihamishwa kutoka Wizara ya Maji na Umwagiliaji na kwenda Wizara ya Ujenzi, uchukuziUchukuzi na Mawasiliano.
 
{| class=wikitable