Utatu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
'''Utatu''' au '''Utatu mtakatifu''' ni hali ya kuwa Watatu katika [[umoja]] kamili.
 
[[Jina]] hilo la ki[[teolojia]] linatumika hasa kufafanulia [[imani]] ya [[Wakristo]] wengi kwamba [[Mungu]] pekee, sahili kabisa, ni [[Nafsi]] tatu zisizotenganika kamwe: [[Baba]], [[Mwana]] na [[Roho Mtakatifu]].
 
==Katika Biblia==
Mstari 15:
 
==Katika matamko rasmi ya Kanisa==
Imani hiyo ilizidi kufafanuliwa hasa katika [[karne IV]], [[mitaguso]] [[Mtaguso Mkuu|mikuu]] ya kwanza ilipochukua msimamo dhidi ya [[wazushi]] waliokanusha [[umungu]] wa Yesu na wa Roho Mtakatifu. Ilipata muundo wa kudumu katika [[Kanuni ya Imani ya Nisea-Konstantinopoli]] inayotumika hadi leo katika [[madhehebu]] mengi ya [[Ukristo]].
 
==Katika liturujia==
[[Fumbo]] hilo linaadhimishwa katika [[liturujia]] ya [[madhehebu]] mbalimbali ya [[Ukristo wa mashariki]] (siku ya [[Pentekoste]]) na ya [[Ukristo wa magharibi]] ([[Jumapili]] inayofuata).
 
== Marejeo ==