Abati : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 2:
[[Image:Bendeikt von Nursia in Muensterschwazach.jpg|thumb|[[Benedikto wa Nursia]], akishika [[bakora]] na [[kanuni]] yake ([[Münsterschwarzach]], [[Ujerumani]]).]]
[[File:Template-Abbot - Provost.svg|right|thumb|[[Ngao]] ya abati asiye [[askofu]], anayeongoza [[abasia]] ya kawaida. Ile ya abati anayeongoza [[abasia ya kijimbo]] ina kofia ya kijani.]]
'''Abati''' (pia "abate") ni [[cheo]] cha mkuu wa [[monasteri]] yenye [[wamonaki]] wengiwengi (kwa kawaida 12 na zaidi) hasa katika [[Kanisa Katoliki]].
 
[[Jina]] linatokana na [[Kilatini]] ''abbas'', [[mkoko]] kutoka [[Kiaramu]] '''אבא''' (''Abba'', yaani "[[baba]]"). Kiongozi wa monasteri ya kike anaitwa pengine [[abesi]].
'''Abati''' ni cheo cha mkuu wa [[monasteri]] yenye [[wamonaki]] wengiwengi (kwa kawaida 12 na zaidi) hasa katika [[Kanisa Katoliki]].
 
Jina linatokana na [[Kilatini]] ''abbas'', [[mkoko]] kutoka [[Kiaramu]] '''אבא''' (''Abba'', yaani "baba"). Kiongozi wa monasteri ya kike anaitwa pengine [[abesi]].
 
Nchini [[Tanzania]] [[Wabenedikto]] wana maabati katima monasteri za [[Peramiho]], [[Ndanda]], [[Hanga]] na [[Mvimwa]].
 
Maabati wachache wanapewa [[daraja takatifu]] ya [[askofu]] kwa kuwa monasteri yao ina jukumu la uchungaji kwa waamini wa eneo fulani ([[abasia]] ya kijimbo), kama ilivyokuwa kwa wale wa Peramiho na Ndanda wakati wa [[umisionari]].
==Viungo vya nje==
Line 15 ⟶ 14:
* [http://chass.colostate-pueblo.edu/history/seminar/daniel.htm ''The Pilgrimage of the Russian Abbot Daniel in the Holy Land'']
 
{{mbegu-diniUkristo}}
 
[[Category:Wamonaki]]
[[Jamii:Viongozi wa Kikristo]]