Rutuba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Dystric cambisol.JPG|thumb|Rutuba asili ikirundikana juu ya ardhi.]]
'''Rutuba''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]) ni uwezo wa [[ardhi]] kufanikisha [[ukuaji]] wa [[mazao]] kwa ajili ya [[kilimo]], au pia ni uwezo wa ardhi kutoa makao kwa [[mimea]] na kusababisha [[uzalishaji]] ulio thabiti na endelevu ulio na [[ubora]] wa hali ya juu.
*Ni uwezo wa ugavi wa [[virutubisho]] muhimu vya mimea na [[maji]] kwa kiasi cha kutosha kwa ajili ya ukuaji na uzalishaji wa mimea.