Akoliti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|upright|''Akoliti'' alivyochorwa na [[Abraham Solomon, 1842.]] File:Քշոց.jpg|thumb|left|100px|Akoliti w...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Solomon Abraham The Acolyte.jpg|thumb|upright|''Akoliti'' alivyochorwa na [[Abraham Solomon]], [[1842]].]]
[[File:Քշոց.jpg|thumb|left|100px|Akoliti wa [[Armenia]] akishika "ripida".]]
[[File:StMarysWestMelbAltar.jpg|thumb|Akoliti wa [[Kanisa la Kilatini]] akihudumiaakimshikilia askofu [[kitabu cha ibada]] wakati yawa kuweka [[wakfu]] [[altare]].]]
{{Ukristo}}
'''Akoliti''' (kwa [[Kiingereza]] "acolyte", kutoka [[Kigiriki]] ἀκόλουθος, ''akoluthos'', yaani "msindikizaji") ni [[Mkristo]] anayemsaidia [[askofu]], [[padri]] au [[shemasi]] anapoongoza [[ibada]] fulani<ref>[http://www.liturgyoffice.org.uk/Resources/GIRM/Documents/GIRM.pdf General Instruction of the Roman Missal]</ref>.
 
Katika [[Kanisa la Kilatini]] tangu mwaka [[1972]], pamoja na [[usomaji]], ni mojawapo kati ya [[huduma]] [[mbili]] za lazima<ref>{{cite web|url=http://www.vatican.va/holy_father/paul_vi/motu_proprio/documents/hf_p-vi_motu-proprio_19720815_ministeria-quaedam_lt.html|title=''Ministeria quaedam'', II|publisher=}}</ref> ambazo wale wote wanaojiandaa kupata [[daraja takatifu]] wazipate na kuzitekeleza kwa [[muda]] fulani.
 
Kati ya [[kazi]] muhimu za akoliti, mmojawapomojawapo ni kuwagawia waamini wenzake [[sakramenti]] ya [[ekaristi]]<ref>General Instruction of the Roman Missal, no. 100</ref>.
 
==Tanbihi==
{{reflist|30em}}
 
==Marejeo==
* John N. Wall. ''A Dictionary for Episcopalians''. [[Cambridge, Massachusetts|Cambridge, MA]]: Cowley Publications, 2000.