Mimbari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Christian Flag etc Covenant Presbyterian Long Beach 20050213.jpg|thumb|right|250px|Mimbari katika [[kanisa]] la [[Waprebiteri|Kipresbiteri]] huko [[Chicago]] ([[Marekani]]).]]
[[Picha:Ambone1.JPG|thumb|right|250px|Mimbari ya Kikatoliki huko [[Almenno San Salvatore]] ([[Bergamo]], [[Italia]]).]]
'''Mimbari''' (au "marufaa"; pia "ambo", kutoka [[jina]] la [[Kilatini]]) ni mahali pa kutangazia [[Neno la Mungu]] katika [[maabadi]] ya [[dini]] mbalimbali.
 
Umuhimu wake unatofautiana kadiri ya dini na ya [[madhehebu]] husika. Kwa mfano, upande wa [[Ukristo]], katika [[Uprotestanti]] inashika nafasi ya kwanza ndani ya [[kanisa]], wakati [[Kanisa Katoliki|Ukatoliki]] unapendelea [[altare]] inapotolewa [[sadaka]] ya [[ekaristi]], ingawa unataka sehemu hizo [[mbili]] zilingane kwa kuwa ni [[meza]] mbili ambapo [[Mungu]] anawalisha wanae kwanza [[Neno la Mungu|Neno]], halafu [[Mwili na Damu ya Kristo]].
 
==Picha==
<gallery perrow=3>
File:Cathedral pulpit - Pisa.jpg|Mimbari ya [[Giovanni Pisano]] katika [[kanisa kuu]] la [[Pisa]] (Italia)
Line 18 ⟶ 19:
[[Jamii:Majengo]]
[[Jamii:Sanaa]]
[[Jamii:Liturujia]]