Viunganishi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 24:
*[[Viunganishi halisi]]
*[[Viunganishi vihusishi]]
 
Ama:
*[[Viunganishi huru]]
*[[Viunganishi tegemezi]]
 
Viunganishi huru ni vile vinavyosimama pekee katika [[tungo]]/katikati ya vipashio vinavyoungwa. Kwa mfano: Sisi tunaimba na kucheza.
 
Viunganishi tegemezi ni vile ambavyo huunda kwa viambishi vya o-rejeshi vinavyowekwa katika [[kishazi huru]] kwa pamoja huunda [[sentensi]] changamano. Viambishi hivyo ni kama vile: po, ye, lo, cho n.k. Kwa mfano: Mama anayepika ni msusi.
 
==Tazama pia==