Roho Mtakatifu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[File:Rom, Vatikan, Basilika St. Peter, Die Taube des Heiligen Geistes (Cathedra Petri, Bernini).jpg|thumb|Roho Mtakatifu akionekana kama [[njiwa]], katika [[Basilika la Mt. Petro]], [[Vatikano]]. Kazi ya [[Gian Lorenzo Bernini]].]]
'''Roho Mtakatifu''' katika [[mapokeo]] ya [[dini]] ya [[Israeli]], [[Ukristo]] na [[Uislamu]] ni [[roho]]
Kwa [[madhehebu]] karibu yote ya Kikristo, Roho Mtakatifu ni [[Nafsi]] ya [[tatu]] ya [[Utatu Mtakatifu]].
Hata hivyo, tofauti katika [[teolojia]] ya madhehebu hayo kuhusu Roho Mtakatifu ni kubwa kuliko zile zilizopo kuhusu Nafsi [[mbili]] za kwanza ([[Mungu Baba]] na [[Mungu Mwana]]).
Kwa jumla Roho Mtakatifu anasadikiwa kuvuviwa [[milele]] na Baba kwa njia ya Mwana awe [[mwalimu]] wa [[wanadamu]] kwa kuwafundisha, kuwakumbusha na kuwazuia kufanya mambo mabaya au [[dhambi]].
Mstari 15:
Kwa [[Wayahudi]] jina hilo linataja [[Nguvu]] za Mungu zinazoweza kujaza watu (kwa mfano ma[[nabii]].
Wazo hilo lilistawishwa na [[Waeseni]], halafu na [[Yohane Mbatizaji]] na hasa [[Yesu Kristo]].
== Mifano ==
Mstari 21:
== Katika [[Agano la Kale]] ==
Tangu [[ukurasa]] wa kwanza wa [[Biblia ya Kiebrania]] uwepo wa Roho wa Mungu unatajwa kuhusu [[uumbaji]] wa [[ulimwengu]], kwamba alitua juu ya [[maji]].
== Katika [[Agano Jipya]] ==
Humo Roho Mtakatifu anafunuliwa na [[Yesu]] kikamilifu.
Ni hasa [[Injili ya Yohane]] (7:37-39; 14:16-17; 14:26; 15:7,26) inayomtambulisha kama παρακλητος, (kwa Kigiriki, ''paracletos''), yaani Nafsi ambaye baada ya Yesu [[kupaa mbinguni]] anafariji/anatetea/anasimamia waamini badala yake.
Lakini hata [[Injili Ndugu]], hasa [[Injili ya Luka]], zinaonyesha [[uhusiano]] wa Roho Mtakatifu na [[Kristo]] tangu [[mwanzo]] wa [[maisha]] yake, yaani kuanzia [[umwilisho]] (Mt 1:18; Lk 1:34-35), kwa kupitia [[ubatizo]] (Mt 3:13-17; Mk 1:9-11; Lk 3:21-22; Yoh 1:31-33), [[Miujiza ya Yesu|miujiza]] (Mt 12:15-21; Mt 12:28; Mk 3:22-30) hadi [[kifo]] cha [[Msalaba wa Yesu|msalabani]] (Mt 27:50; Mk 15:37; Lk 23:46; Yoh 19:30).
Baada ya Yesu kumtoa kwa [[Bikira Maria]], [[Mtume Yohane]] na wengineo wakati wa kufa na baada ya yeye kuwavuvia [[Mitume wa Yesu|mitume]] wake [[jioni]] ya [[
Hapo [[Mtume Petro]] na wenzake walianza kutangaza habari njema kwa watu wa [[lugha]] mbalimbali waliokuwa [[Yerusalemu]] ama kama wakazi ama kwa ajili ya [[hija]].
== [[Vipaji vya Roho Mtakatifu]] ==
Kwa vipaji hivyo Roho Mtakatifu anamuongoza kila mmoja katika [[safari]] ya kumfuata Kristo hadi kuchuma yale yanayoitwa na [[Mtume Paulo]] ''[[matunda ya Roho Mtakatifu]]'': "[[upendo]], [[furaha]], [[amani]], [[uvumilivu]], [[utu wema]], [[fadhili]], [[uaminifu]], [[upole]], [[kiasi]]" ([[Gal]] 5:22).
Tofauti na vipaji na matunda ni [[karama]] mbalimbali ambazo Roho Mtakatifu anazigawa anavyotaka kwa [[ujenzi]] wa [[Kanisa]]: karama yoyote si ya [[lazima]] kwa [[wokovu]] wa mtu, wala hailengi kwanza [[utakatifu]] wake, bali [[faida]] ya wengine, hasa kupitia [[umoja]] wa [[Kanisa]] ambao anausababisha kwa kutia upendo mioyoni mwa waamini na kwa njia ya [[sakramenti]], hasa [[ekaristi]], [[mkate]] wa [[uzima]].
{{mbegu-dini}}
[[Jamii:Dini]]
[[Jamii:Uyahudi]]
[[Jamii:Ukristo]]
[[Jamii:Mungu]]
|