Rijili Kantori : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Kipala alihamisha ukurasa wa Alpha Centauri hadi Rijili Kantori: jina la Kiswahili
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Position Alpha Cen.png|thumb|300px|right|Mahali pa Rijili Kantarusi - Alpha Centauri katika kundinyota ya Kantarusi]]
 
'''Rijili Kantori''' , '''Rijili Kantarusi''' au [[ing.]] '''Alpha Centauri''' ''(pia: Toliman au Rigil Kentaurus)'' ni [[nyota]] inayong'aa sana katika anga ya kusini kwenye [[kundinyota]] ya [[Kantarusi]] ''(pia: [[ing.]] [[:en:Centaurus|Centaurus]])''. Ni nyota ya kungaa sana ya nne angani lakini haionekani kwenye nusudunia ya kaskazini.
 
Alpha Centauri ni nyota ya pekee kwa sababu ni nyota yetu jirani katika anga ina umbali wa [[miaka ya nuru]] 4.2 - 4.2.