Kundinyota : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
→Kusudi la kupanga nyota katika kundinyota: kunyosha lugha |
|||
Mstari 10:
Kujumlisha nyota hivi kwa makundi ilikuwa msaada kwa watu kukumbuka na kutambua nyota.
Hali halisi nyota hizi hazina uhusiano kati yao, zinaonekana tu kama kundi kwa mtazamaji aliye duniani lakini haziko mahali pamoja
Hivyo kundinyota ni tofauti na [[fungunyota]] ''([[:en:star cluster]]) ''ambayo ni idadi kubwa ya nyota zilizopo karibu
Kwa jumla ilikuwa msaada wa kutofautisha maeneo angani kama nyota ziliweza kutajwa kuwepo katika eneo la kindinyota fulani linalokumbukwa kirahisi kutokana na ruwaza ya nyota.
|