Fasihi simulizi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 70:
#Fasihi simulizi '''huendana na wakati na mazingira'''; baadhi ya tanzu au vipera vya fasihi simulizi vinaweza kuwa vimepitwa na wakati, lakini bado vinaweza kubadilishwa na vikasadifu wakati mahususi.
#Fasihi simulizi '''ni mali ya jamii nzima''', humilikiwa na kila mtu katika jamii. Sifa hii ndiyo huipa uwezo wa kurithishwa toka [[kizazi]] kimoja kwenda kingine.
#Fasihi simulizi '''huzaliwa, hukua na hata kufa'''. Kuzaliwa: fasihi simulizi huzaliwa kutokana na mambo yanayotokea katika jamii. Kukua: fasihi simulizi hukua kadIri inavyojadili matatizo yanayojitokeza. Kufa: fasihi simulizi hufa kwa namna mbili. Hii ni kutokana na [[maendeleo]] ya mazingira ambayo hufuata mfumo wa jamii husika. Kwa mfano kutokana na maendeleo ya [[sayansi]] na [[teknolojia]] fasihi inaweza kuhifadhiwa kwenye [[maandishi]] na kwenye kanda mbalimbali za kurekodi.
#Fasihi simulizi ina '''uwanja maalumu wa kutendea'''; joo moni sehemu ambayo imetengwa rasmi kwa ajili ya aina/kipera fulani cha fasihi simulizi. Sehemu hiyo inaweza kuwa porini, misituni, mtoni, pangoni, nyumbani na kadhalika.
 
==Wahusika wa fasihi simulizi==