Mbuzi-kaya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Sahihisha viungo vya spishi na nususpishi.
No edit summary
Mstari 22:
| bingwa_wa_nususpishi = (Linnaeus, 1758)
}}
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
 
[[Picha:Geitenmelk.jpg|thumb|left|200px|Mbuzi akikamuliwa [[maziwa]].]]
'''Mbuzi-kaya''' ni [[mnyama]] katika [[ngeli]] ya [[mamalia]] ambaye huzaa na kunyonyesha mwenye [[miguu]] minne na mwenye [[tabia]] zinazofanana na [[ng'ombe]]. Kwa ukubwa, mbuzi aliyekomaa ni pungufu ya [[theluthi]] moja ya ng'mbeombe aliyekomaa.
 
Mbuzi-kaya, kama alivyo n'gombe, ni [[Mifugo|mnyama anayefugika]]. Hufugwa kwa ajili ya [[nyama]], [[maziwa]] na [[ngozi]] yake. Kwani nyama na maziwa ni [[chakula]], na ngozi kufanywa [[Kiatu|viatu]], [[mshipi|mishipi]] na [[mkoba|mikoba]] pia.
'''Mbuzi-kaya''' ni [[mnyama]] katika ngeli ya [[mamalia]] mwenye miguu minne na mwenye tabia zinazofanana na [[ng'ombe]]. Kwa ukubwa, mbuzi aliyekomaa ni pungufu ya theluthi moja ya ng'mbe aliyekomaa.
 
Mbuzi-kaya hula [[majani]], hucheua na kutafuna tafuna chakula chake mara kadhaa ilhali kikizunguka kati ya vyumba mbalimbali vya [[tumbo]] na [[mdomo]] wake kabla ya kukimeza kabisa, kama vile afanyavyo ng'ombe.
Mbuzi-kaya, kama alivyo n'gombe ni mnyama anayefugika. Hufugwa kwa ajili ya [[nyama]], [[maziwa]] na [[ngozi]] yake. Kwani nyama na maziwa ni [[chakula]], na ngozi kufanywa viatu, mishipi na mikoba pia.
 
Mara nyingi mbuzi-kaya hubeba [[mimba]] na kuzaa [[mapacha]] kadhaa.
Mbuzi-kaya hula majani, hucheua na kutafuna tafuna chakula chake mara kadhaa ilhali kikizunguka kati ya vyumba mbalimbali vya tumbo na mdomo wake kabla ya kukimeza kabisa, kama vile afanyavyo ng'ombe.
 
Mbuzi ni kati ya wanyama wa kwanza waliofugwa na [[binadamu]]. Kuna [[spishi]] za kufugwa na spishi za poriporini.
Mara nyingi mbuzi-kaya hubeba mimba na kuzaa mapacha kadhaa.
 
====Faida za mbuzi====
Mbuzi ni kati ya wanyama wa kwanza waliofugwa na binadamu. Kuna [[spishi]] za kufugwa na spishi za pori.
Kuna faida nyingi za mbuzi aina hizo ni:
*(i) Hutupatia ngozi kwa ajili ya kutengenezea vitu kama viatu.
*(ii) Hutupatia nyama.
*(iii) Hutupatia [[kwato]] kwa ajili ya kutengenezea vitu kama vishikizo vya [[nguo]].
*(iv) Hutupatia maziwa.
 
== Viungo vya nje ==
{{Commonscat|Goats}}
* [http://www.ansi.okstate.edu/breeds/goats/ Goat breeds]
* [http://www.ansi.okstate.edu/library/Goats.html Goat resources]
Line 47 ⟶ 53:
* [http://www.csmonitor.com/2006/0918/p01s03-ussc.html How to keep fires down in California scrub: Chew it.]
* [http://www.iga-goatworld.org/ International Goat Association]
 
{{Commonscat|Goats}}
 
{{mbegu-mnyama}}