Kupaa Bwana : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 53 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q51638 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:AscensionofChrist2.jpg|thumb|250px|right|''Kupaa Kristo'' kadiri ya [[Il Garofalo|Garofalo]], [[1520]].]]
{{Mwaka wa liturujia}}
'''Sherehe ya Kupaa Bwana''' ni [[ukumbusho]] wa [[fumbo]] la [[Yesu Kristo]] kupaa katika [[utukufu]] wa [[mbinguni]] akiwa na [[mwili]] wake ambao [[Ijumaa kuu]] [[msalaba wa Yesu|ulisulubiwa]] hata [[kifo cha Yesu|akafa]] akazikwa kabla [[ufufuko wa Yesu|hajafufuka]] [[siku]] ya [[tatu]] ([[Siku ya Bwana|Jumapili]]) kadiri ya [[imani]] ya [[Ukristo]].
 
Ni [[adhimishoSherehe]] linalounganishahiyo inaunganisha [[madhehebu]] mengi sana katika kumshangilia [[Yesu]] kufanywa [[Bwana]] wa wote na vyote.
 
Kwa kawaida [[sikukuu]] hiyo inafanyika siku 40[[arubaini]] baada ya [[Pasaka ya Kikristo|Jumapili ya Pasaka]] kufuatana na [[hesabu]] ya [[Matendo ya Mitume]] 1:3, ingawa pengine inasogezwa kutoka [[Alhamisi]] hadi [[Jumapili]] ijayo ili kuwawezesha waamini wote kushiriki pale ambapo siku yenyewe ni ya [[kazi]], si [[sikukuu ya taifa]].
 
== Historia ==
[[Adhimisho]] hilo ni la zamani sana. Ingawa hakuna uthibitisho wa kimaandishi kabla ya mwanzo wa [[karne ya 5]], [[Agostino wa Hippo]] alisema linatokana na [[Mababu wa Kanisa]] wa kwanza, na kwamba linafanyika katika [[Kanisa]] lote tangu muda mrefu.
 
Kweli linatajwa mara nyingi katika maandishi ya [[Yohane Krisostomo]], [[Gregori wa Nisa]], katika [[Katiba za Mitume]] na mengineyo ya [[Makanisa ya mashariki]] na [[Kanisa la magharibi]].
 
==Viungo vya nje==
{{Commons category|Ascension of Christ}}
 
{{mbegu-Ukristo}}
 
[[Jamii:Liturujia]]