Imani ya Kanisa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tengua pitio 1010300 lililoandikwa na Sosmeck (Majadiliano)
Mstari 9:
Vilevile, tendo la Mkristo kumsadiki [[Mungu]] na [[ufunuo]] wake linabebwa na imani ya [[Taifa la Mungu|taifa lake]] lote kama [[mtoto]] anavyobebwa na [[mama]] yake na kufundishwa naye kujua na kusema.
 
Hivyo Mkatoliki anahimizwa kushiriki zaidi na zaidi imani ya Kanisa lote (la nyakati zote na la mahali kote) ili azidi kusadiki kwa [[Uhakikahakika]], mbali na [[tafsiri]] binafsi zinazoweza kuathiriwa na [[umimi]], na [[utamaduni]] n.k.
 
==Tanbihi==