Fasihi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Mstari 19:
*Mtazamo
Fasihi ni tawi la sanaa inayotumia lugha katika kufikisha ujumbe wa msanii kwa hadhira.Hadhira ni wadhira ni wapokeaji wa kazi ya kifasihi. ===SANAA===
Ni ufundi wa kuwasilisha mawazo au ujumbe ulio katika fikra za kibinadamu.
AINA ZA SANAA.
kuna aina tatu za sanaa;
(I)Sanaa za ghibu.
(II)Sanaa za maonyesho.
(III)Sanaa za vitendo.
DHIMA ZA FASIHI KATIKA MAISHA.
fasihi hufanya kazi mbalimbali katika maisha
(i)Kuelimisha jamii.
(II)Kukuza utamaduni.
(III)Kukuza lugha.
(IV)Kuburudisha jamii.
(V)Kukomboa jamii.
AINA ZA FASIHI.
kuna aina mbili za fasihi
(a)Fasihi andishi
(b)Fasihi simulizi
==Aina za fasihi==
|