Fasihi : Tofauti kati ya masahihisho

16 bytes removed ,  miaka 6 iliyopita
Tengua pitio 1010370 lililoandikwa na Fellain (Majadiliano)
(Tengua pitio 1010370 lililoandikwa na Fellain (Majadiliano))
'''Fasihi''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]] فصاحة ''fasAHafasaha'' kwa maana ulumbi) ni [[utanzu]] ([[tawi]]) wa [[sanaa]] ambao hutumia [[lugha]] ya [[mazungumzo]] au [[maandishi]] ili kufikisha (kuwasilisha) [[ujumbe]] kwa [[hadhira]] husika. Ni [[ufundi]] wa kuwasilisha mawazo au ujumbe ulio katika fikra za [[binadamu]].
 
Vipengele vinavyounda fani ya fasihi ni kama ifuatavyo: [[fani]] ni [[umbo]] la nje la [[kazi]] ya [[fasihi]]; [[maudhui]] ni umbo lake la ndani.
*Mtazamo
 
==Sifa za fasihi==
Fasihi ni tawi la sanaa inayotumia lugha katika kufikisha ujumbe wa msanii kwa hadhira.Hadhira ni wadhira ni wapokeaji wa kazi ya kifasihi. ===SANAA===
*Fasihi ni utanzu wa sanaa. Kuna aina tatu za sanaa: sanaa za ghibu, sanaa za maonyesho na sanaa za vitendo.
Ni ufundi wa kuwasilisha mawazo au ujumbe ulio katika fikra za kibinadamu.
*Kazi ya fasihi ni kujaribu kusawiri vipengele vya maisha, mahusiano, na hisia za watu katika jamii husika.
AINA ZA SANAA.
*Fasihi ni maelezo ya fani na maudhui.
kuna aina tatu za sanaa;
*Fasihi ni ufundi unaotumia lugha ili kulete mguso au hisia fulani za watu katika muktadha fulani.
(I)Sanaa za ghibu.
(II)Sanaa za maonyesho.
(III)Sanaa za vitendo.
 
==Dhima za fasihi katika maisha==
DHIMA ZA FASIHI KATIKA MAISHA.
fasihiFasihi hufanya kazi mbalimbali katika maisha:
(i)* Kuelimisha jamii.
(II)* Kukuza utamaduni.
(III)* Kukuza lugha.
(IV)* Kuburudisha jamii.
(V)* Kukomboa jamii.
 
AINA ZA FASIHI.
kuna aina mbili za fasihi
(a)Fasihi andishi
(b)Fasihi simulizi
 
==Aina za fasihi==