Baba Tabita

Joined 30 Aprili 2006
d
no edit summary
(michango 60,000)
dNo edit summary
Tarehe 20 Mei 2017 nimefikisha michango [https://tools.wmflabs.org/guc/index.php?user=Baba%20Tabita 60,000].
 
Ingawa nimechaguliwa kuwa bureaucrat wa wikipedia hii mwezi wa Februari 2008, kazi yangu hunisafirisha mara kwa mara kwenda maeneo ambako siingii mtandaoni hata kidogo. Nisiposafiri najitahidi kuingia kwenye wikipedia yetu angalao mara moja kwa juma. Nikiwa kimya kwa majuma kadhaa, naomba mnivumilie. Asanteni!
 
[[de:Benutzer:Baba Tabita]]
62,394

edits