10,505
edits
(Sahihisho) |
(Nyongeza picha) |
||
| rangi = pink
| jina = Kwale
| picha =
| upana_wa_picha = 250px
| maelezo_ya_picha =
| himaya = [[Mnyama|Animalia]] (Wanyama)
| faila = [[Chordate|Chordata]] (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
| spishi = Angalia katiba
}}
'''Kwale''' (pia '''kware''') ni [[ndege (mnyama)|ndege]] wa [[jenasi]] mbalimbali katika [[familia (biolojia)|familia]] ya [[Phasianidae]]. [[Spishi]] nne za ''Francolinus'' ambazo zina ngozi kichele yenye rangi kali kooni na pande zote za macho huitwa [[kereng'ende (ndege)|kereng'ende]] pia. Rangi ya kwale ni kahawia au kijivu na wana michirizi au madoa. Mara nyingi miguu yao ni myekundu au rangi ya manjano na koo lao ni jekundu, jeupe, jeusi au rangi ya manjano. Hujificha kwa kawaida lakini sauti yao husikika mara kwa mara. Chakula chao ni [[mbegu]], [[mdudu|wadudu]] na [[nyungunyungu]]. Hutaga mayai matatu hadi kumi ardhini pengine juu ya manyasi makavu.
* ''Peliperdix albogularis'', [[Kwale Koo-jeupe]] ([[w:White-throated Francolin|White-throated Francolin]])
* ''Peliperdix coqui'', [[Kwale Miguu-njano]] ([[w:Coqui Francolin|Coqui Francolin]])
* ''Peliperdix lathami'', [[Kwale-
* ''Peliperdix schlegelii'', [[Kwale wa Schlegel]] ([[w:Schlegel's Francolin|Schlegel's Francolin]])
* ''Pternistis adspersus'', [[Kwale Domo-jekundu]] ([[w:Red-billed Francolin|Red-billed Francolin]])
* ''Pternistis hildebrandti'', [[Kwale wa Hildebrandt]] ([[w:Hildebrandt's Francolin|Hildebrandt's Francolin]])
* ''Pternistis icterorhynchus'', [[Kwale wa Heuglin]] ([[w:Heuglin's Francolin|Heuglin's Francolin]])
* ''Pternistis jacksoni'', [[Kwale-
* ''Pternistis leucoscepus'', [[Kereng'ende Shingo-njano|Kereng'ende]] au [[Kwale Shingo-njano]] ([[w:Yellow-necked Francolin|Yellow-necked Francolin]])
* ''Pternistis natalensis'', [[Kwale wa Natal]] ([[w:Natal Francolin|Natal Francolin]])
* ''Pternistis ochropectus'', [[Kwale wa Jibuti]] ([[w:Djibouti Francolin|Djibouti Francolin]])
* ''Pternistis rufopictus'', [[Kereng'ende Kidari-kijivu|Kereng'ende]] au [[Kwale Kidari-kijivu]] ([[w:Grey-breasted Francolin|Grey-breasted Francolin]])
* ''Pternistis squamatus'', [[Kwale
* ''Pternistis swainsonii'', [[Kereng'ende wa Swainson|Kereng'ende]] au [[Kwale wa Swainson]] ([[w:Swainson's Francolin|Swainson's Francolin]])
* ''Pternistis swierstrai'', [[Kwale wa Swierstra]] ([[w:Swierstra's Francolin|Swierstra's Francolin]])
* ''Scleroptila afra'', [[Kwale Mabawa-kijivu]] ([[w:Grey-winged Francolin|Grey-winged Francolin]])
* ''Scleroptila finschi'', [[Kwale wa Finsch]] ([[w:Finsch's Francolin|Finsch's Francolin]])
* ''Scleroptila
* ''Scleroptila levaillantii'', [[Kwale Mabawa-mekundu]] ([[w:Red-winged Francolin|Red-winged Francolin]])
* ''Scleroptila
▲* ''Scleroptila psilolaema'', [[Kwale-bwawa]] ([[w:Moorland Francolin|Moorland Francolin]])
* ''Scleroptila shelleyi'', [[Kwale wa Shelley]] ([[w:Shelley's Francolin|Shelley's Francolin]])
* ''Scleroptila streptophora'', [[Kwale Shingo-nyeusi]] ([[w:Ring-necked Francolin|Ring-necked Francolin]])
* ''Xenoperdix udzungwensis'', [[Kwale wa Udzungwa]] ([[w:Udzungwa Partridge|Udzungwa Partridge]])
* ''Xenoperdix
==Spishi za Asia==
==Picha==
<gallery>
Crested francolin.JPG|Kwale kishungi
Picha:Francolinus adspersus.jpg|Kwale domo-jekundu▼
Picha:Erckel's Francolin.PNG|Kwale wa Erckel▼
Francolinus afer1.jpg|Kwale shingo-nyekundu
Picha:HFfemale.gif|Kwale wa Hartlaub▼
Pternistis bicalcaratus.jpg|Kwale vikwaru-viwili
Picha:Yellowneckedspurfowl250.JPG|Kwale shingo-njano▼
Cape francolin 02.jpg|Kwale kusi
Picha:Francolinus natalensis -Pilanesberg National Park, South Africa-8.jpg|Kwale wa Natal▼
Picha:Francolinus swainsonii -Kruger National Park-8.jpg|Kwale wa Swainson▼
Heuglin's Spurfowl (Pternistis icterorhynchus) (7083196897).jpg|Kwale wa Heuglin
Jackson's francolin (Pternistis jacksoni).jpg|Kwale-milima
Handsome Francolin.JPG|Kwale mrembo
Gray-breasted Francolin - Ndutu - Tanzania 0035 (15545402451).jpg|Kwale kidari-kijivu
Scaly francolin (Pternistis squamatus).jpg|Kwale mabaka
Grey-winged Francolin (Francolinus africanus).jpg|Kwale mabawa-kijivu
Orange River francolin, Scleroptila levaillantoides, at Khama Rhino Sanctuary, Botswana (32117354732).jpg|Kwale wa Kulal
Red-winged francolin (Scleroptila levaillantii).jpg|Kwale mabawa-mekundu
</gallery>
<gallery>
Painted Francolin CME1.jpg|Painted francolin
Grey Francolin.jpg|Grey francolin
</gallery>
|