Charles Sacleux : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
Sacleux alikuwa padre wa [[shirika ya Roho Mtakatifu]].
 
Sacleux alikuwa misionari mkatoliki wa kwanza aliyeandika juu ya [[Kiswahili]]. Alitunga sarufi na [[kamusi ya Kiswahili]]. Mwaka 1891 alitunga kamusi ya "Dictionnaire Français—SwahiliSwahili - Français" iliyochapishwa 1939<ref>[http://www.uni-leipzig.de/~afrika/swafo/documents/Sacleux1939_small_size_290_MB.pdf Kamusi ya Sacleux kwenye tovuti ya [[Chuo Kikuu cha Leipzig]]]</ref>. Mwaka 1909 alitoa "Grammaire des dialectes Swahilis" (sarufi ya lahaja za Kiswahili). Vitabu vyote viwili vilisifiwa na wataalamu.
 
Alitunga na kutafsiri vitabu kwa Kiswahili akaandika nyimbo za kiroho zinazotumiwa hadi leo katika kanisa katoliki.