Huduma ya ujumbe mfupi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Simu inapokea ujumbe mfupi wa maandishi. '''Huduma ya ujumbe mfupi''' au '''huduma ya ujumbe mfupi wa maandishi''' (kutoka Kiing...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[File:SMS test.jpg|thumb|Simu inapokea ujumbe mfupi wa maandishi.]]
'''Huduma ya ujumbe mfupi''' au '''huduma ya ujumbe mfupi wa maandishi''' (kutoka [[Kiing.]] '''SMS''' kwa '''short messaging service''' ) ni aina ya [[mawasiliano]] yanayotumika katika [[simu za mikononi]]. Yanafahamika sana kwa kuitwa "jumbe fupi" au "ujumbe mfupi". Ukiwa na SMS, mtu mmoja anaweza kumtumia mtu mwingine ujumbe wa maandishi.
 
Matumizi ya mjumbe mfupi yanaenda pole mno, kwa kuwa kikawaida watu wengi hutumia piga sana badala ya kutuma ujumbe mfupi. Vilevile kuna mipaka ya utumaji maandishi yasiyozidi 160.<ref>{{Cite web | url = http://www.bbc.co.uk/webwise/askbruce/articles/mobiles/sms_1.shtml | publisher = BBC | accessdate = 2009-09-02| title = What is SMS?}}</ref> Ukituma ujumbe mrefu zaidi huhesabiwa kama jumbe zaidi ya moja, ambapo mtumiaji atatakiwa alipe zaidi ya ujumbe mmoja.