Tofauti kati ya marekesbisho "Huduma ya ujumbe mfupi"

69 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
Maboresho
(Maboresho)
 
'''Huduma ya ujumbe mfupi''' au '''huduma ya ujumbe mfupi wa maandishi''' (kutoka [[Kiing.]] '''SMS''' kwa '''short messaging service''' ) ni aina ya [[mawasiliano]] yanayotumika katika [[simu za mikononi]]. Yanafahamika sana kwa kuitwa "jumbe fupi" au "ujumbe mfupi". Ukiwa na SMS, mtu mmoja anaweza kumtumia mtu mwingine ujumbe wa maandishi.
 
Matumizi ya mjumbeujumbe mfupi yanaenda pole mno, kwa kuwa kikawaida watu wengi hutumiahupenda pigakutumia njia ya kupiga simu ya sauti sana badala ya kutuma ujumbe mfupi. Vilevile kuna mipaka ya utumaji maandishi yasiyozidi 160.<ref>{{Cite web | url = http://www.bbc.co.uk/webwise/askbruce/articles/mobiles/sms_1.shtml | publisher = BBC | accessdate = 2009-09-02| title = What is SMS?}}</ref> Ukituma ujumbe mrefu zaidi huhesabiwa kama jumbe zaidi ya moja, ambapo mtumiaji atatakiwa alipe zaidi ya ujumbe mmoja.
 
Jumbe fupi hutumwa kwa simu nyingine iwapo simu ya kawaida haikubali au inatumika sana. Ijapokuwa kuna baadhi ya watu wao huwa mahodari wa kutuma jumbe za kawaida. Matumizi ya jumbe fupi, huenda mtu yupo sehemu ambayo yayenye mkusanyiko mkubwa wa watu wengi na hawezi kuongea mbele yao, basi atatumia huduma ya ujumbe mfupi kumfahamisha huyo mtumiaji mwenzake juu ya suala fulani nyeti kwa kutumia huduma hii. Gharama za jumbe itategemea na mtandao unaokupa huduma. Baadhi ya mitandao hutoa jumbe bila kikomo kwa kujiunga na baadhi ya vifurushi wanavyotoa huduma maalumu za jumbe bila kikomo kwa wateja wao.
 
== Marejeo ==