Simu za mikononi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'upright|thumb|[[Siemens AX72.]] thumb|upright|Ndani ya simu za mkononi '''Simu ya mkononi''' (lakabu '''si...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[File:SiemensAX72.jpg|upright|thumb|[[Siemens]] AX72.]]
[[File:Cellphone X-ray.jpg|thumb|upright|Ndani ya simu za mkononi]]
'''Simu ya mkononi''' (lakabu '''simu bila waya''', '''simumnara''', au '''simu-selula''', '''rununu''', '''rukono'''<ref>{{cite web| title=Of Cigarettes and Cellphones| last=Ulyseas| first=Mark| date=2008-01-18| url=http://www.thebalitimes.com/2008/01/18/of-cigarettes-and-cellphones/| publisher=The Bali Times| accessdate=2008-02-24}}</ref>) ni [[simu]] ndogo inayobebeka.
 
Simu ya mkononi inaweza kutumika kwa [[mawasiliano]] ya mbali bila [[waya]]. InafanyakaziInafanya kazi kwa kuwasiliana na kituo cha mawasiliano kwa njia ya [[mnara]] (vilevile huita "mnarani") ambayo inaunganisha na [[mtandao]] mkuu wa simu. Ikiwa inatembea, kama simu inakuwa mbali sana na mnara iliyoungana nao awali, ule mnara unatuma [[ujumbe]] kwa mnara mwingine wa karibu kupokea mawasiliano. Utaratibu huu unasaidia simu isikatike, hivyo basi mawasiliano yanaendelea kwa kuunganishwa huko. Kupasiana huko kwa minara ([[lugha]] ya kitaalamu "hand-off"), kunatokea kiasi kwamba hata mtumiaji hawezi kujua kama kuna kitu kama hicho kimetokea.
 
[[Teknolojia]] hii wakati inaanzainapoanza ilikuwa gharighali mno. Lakini kadiri inavyozidi kujulikana, ndivyo inavyozidi kuwa na [[gharama]] za chini, kiasi kwamba kila [[mtu]] anaweza kumudu gharama za matumizi ya simu zaya mkononi.
 
Muundo mpya wa simu za mkononi unaitwa "SimuJanja". au "simu mtelezo". Muundo huu umekuwa maarufu ndani ya muda mfupi. Sehemu kubwa ya simu zilizotengenezwa kuanzia mwaka wa [[2010]] ni "[[simujanja]]". Zinaweza kutumika kama [[kompyuta]] na vilevile kupiga simu.
 
Muundo mpya wa simu za mkononi unaitwa "SimuJanja". Muundo huu umekuwa maarufu ndani ya muda mfupi. Sehemu kubwa ya simu zilizotengenezwa kuanzia mwaka wa 2010 ni "[[simujanja]]". Zinaweza kutumika kama [[kompyuta]] na vilevile kupiga simu.
== Marejeo ==
{{Commons cat|Mobile phones}}
{{reflist}}
 
==Viungo vya nje==
[[Jamii:Simu za mkononi]]
{{Commons cat|Mobile phones}}
 
[[Jamii:Simu za mkononi]]
[[Jamii:Teknolojia]]