Tofauti kati ya marekesbisho "Imani sahihi"

1 byte removed ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
No edit summary
'''Imani sahihi''' (kwa [[Kiingereza]] '''Orthodoxy''', kutoka maneno ya [[Kigiriki]] ''orthos'' + ''doxa'',<ref name = "Dict">orthodox. Dictionary.com. Online Etymology Dictionary. Douglas Harper, Historian. [http://dictionary.reference.com/browse/orthodox Dictionary Definition] (accessed: March 03, 2008).</ref>) ni msimamo unaokubali mafundisho sanifu ya [[dini]] fulani, tofauti na yale ya wachache.<ref>orthodox. Dictionary.com. The American Heritage Dictionary of the English Language, Fourth Edition. Houghton Mifflin Company, 2004. [http://dictionary.reference.com/browse/orthodox Dictionary definition] (accessed: March 03, 2008).</ref>
 
Umuhimu wa jambo hilo unasisitizwa hasa katika dini inayokiri [[umoja]] wa [[Mungu]], lakini si katika dini nyingine kama zile za [[jadi]] au za [[miungu]] miungumingi.
 
Katika [[Ukristo]], inamaanisha kwa kawaida kukubali [[imani]] kama ilivyofundishwa na [[mitaguso ya kiekumene]] katika [[karne]] za kwanza za dini hiyo dhidi ya [[uzushi]] wa aina mbalimbali.<ref name = "Dict" />