Dhambi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 11:
Katika [[dini]] zinazofundisha kwamba Mungu alitoa [[ufunuo]] wake hata kwa njia ipitayo [[maumbile]], ni dhambi kwenda kinyume cha ufunuo huo, kwa mfano unavyopatikana katika [[vitabu]] vitakatifu vya dini husika, kama vile [[Biblia]] kwa [[Wayahudi]] na [[Wakristo]] na [[Kurani]] kwa [[Waislamu]].
 
Kutokana na uenezi wa dhambi kuanzia [[dhambi ya asili]], linajitokeza suala la [[wokovu]], ambalo linaweza kutazamwa zaidi kama [[neema]], lakini kwa kawaida linadai [[toba]] ya mkosefu.
 
[[Jamii:Maadili]]