Wokovu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Heusler Allegory of Salvation.JPG|thumb|''Mfano wa Wokovu'' kadiri ya [[Antonius Heusler]] ([[1555]]), National Museum huko [[Warsaw]], [[Poland]].]]
{{Ukristo}}
'''Wokovu''' kwa jumla unamaanisha kuondolewa hali isiyopendeza au ya [[hatari]] kabisa.
 
Kwa namna ya pekee, katika [[Ukristo]] ''[[Historia ya Wokovu]]'' ni wazo la msingi: maana yake ni kwamba, katika mfululizo wa matukio ya [[dunia]] hii, [[Mungu]] anawakomboa [[binadamu]] kutoka [[dhambi]] zao na kutoka matokeo yake katika [[maisha]] ya duniani na katika [[uzima wa milele]].
 
[[Biblia ya Kikristo]] inatamka kuwa [[neema]] ya Mungu ndiyo inayookoa watu, kwa kuwa hao hawawezi kujikomboa peke yao, lakini wanapokea wokovu kama [[zawadi]] ([[neema]], dezo) kwa njia ya [[imani]].
 
''"Kwa maana mmeokolewa kwa neema, kwa njia ya imani; ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu, ni kipawa cha Mungu"'' ([[Waraka kwa Waefeso|Waefeso]] 2:8).
 
== Wokovu katika [[Agano la Kale]] ==
Katika [[Biblia]] [[neno]] "wokovu" linatafsiri maneno mbalimbali yanayohusu kuondolewa mabaya ya kimwili na ya kiroho vilevile. Daima Mungu ndiye [[asili]] yake. Ndiye anayeokoa kwenye [[vita]] ([[Kutoka (Biblia)|Kutoka]] 15:2), [[ajali]] ([[Kitabu cha Zaburi|Zaburi]] 34:6), [[mikono]] ya [[adui]] ([[Kitabu cha Pili cha Samueli|2 Samueli]] 3:10), [[uhamisho]] (Zaburi 106:47), [[kifo]] (Zaburi 6:4), dhambi ([[Ezekieli]] 36:29).
 
Kwanza [[Waisraeli]] walifikiria hasa wokovu wa kidunia kwa [[taifa]] lao, lakini polepole kwa kuzingatia [[uovu]], walifikia hatua ya kuona wokovu upande wa [[maadili]] na kuhusu [[taifa|mataifa]] mengine pia ([[Isaya]] 49:5,6; 55:1-5).
Katika [[Biblia]] "wokovu" linatafsiri maneno mbalimbali yanayohusu kuondolewa mabaya ya kimwili na ya kiroho vilevile. Daima Mungu ndiye asili yake. Ndiye anayeokoa kwenye [[vita]] ([[Kutoka (Biblia)|Kutoka]] 15:2), [[ajali]] ([[Kitabu cha Zaburi|Zaburi]] 34:6), mikono ya [[adui]] ([[Kitabu cha Pili cha Samueli|2 Samueli]] 3:10), [[uhamisho]] (Zaburi 106:47), kifo (Zaburi 6:4), dhambi ([[Ezekieli]] 36:29).
 
Kadiri yao, wokovu unapatikana kwa njia ya [[uadilifu]] uliotazamwa kama utekelezaji kamili yawa [[Torati]].
Kwanza Waisraeli walifikiria hasa wokovu wa kidunia kwa [[taifa]] lao, lakini polepole kwa kuzingatia uovu, walifikia hatua ya kuona wokovu upande wa [[maadili]] na kuhusu mataifa mengine pia ([[Isaya]] 49:5,6; 55:1-5).
 
== Wokovu katika [[Agano Jipya]] ==
Kadiri yao, wokovu unapatikana kwa njia ya [[uadilifu]] uliotazamwa kama utekelezaji kamili ya [[Torati]].
Maneno ya [[Kigiriki]] yanayotumiwa na [[Agano Jipya]] kumaanisha "kuokoa" na "wokovu" ni: σώζω (sōzō) e σωτηρία (sōtēria). Maana yake asili ni kuopoa kwa [[nguvu]] kutoka hatari (k.mf. ya [[ugonjwa]]).
 
Kwa kawaida [[Yesu]] alionyesha wokovu kuwa ni [[ukombozi]] kutoka dhambi ambao uanze kung'amuliwa mapema, ingawa utakamilika [[ahera]]: ''"Mwenye kuvumilia hata mwisho, ndiye atakayeokoka"'' ([[Injili ya Mathayo|Mathayo]] 10:22; 24:13).
== Wokovu katika [[Agano Jipya]] ==
 
Hasa [[Mtume Paulo]] alisisitiza wokovu ni [[tunda]] la [[Msalaba wa Yesu|kifo]] na [[Ufufuko wa Yesu|ufufuko]] wa [[Yesu Kristo]], aliyeleta [[baraka]] zote kumpitia [[Roho Mtakatifu]], kama vile [[wongofu]], [[kuzaliwa upya]], [[utakaso]], [[kufanywa mwana]], [[utakatifu]] na [[utukufu]].
Maneno ya [[Kigiriki]] yanayotumiwa na Agano Jipya kumaanisha "kuokoa" na "wokovu" ni: σώζω (sōzō) e σωτηρία (sōtēria). Maana yake asili ni kuopoa kwa nguvu kutoka hatari (k.mf. ya [[ugonjwa]]).
 
Kwa kawaida [[Yesu]] alionyesha wokovu kuwa ni ukombozi kutoka dhambi ambao uanze kung'amuliwa mapema, ingawa utakamilika ahera: ''"Mwenye kuvumilia hata mwisho, ndiye atakayeokoka"'' ([[Injili ya Mathayo|Mathayo]] 10:22; 24:13).
 
Hasa [[Mtume Paulo]] alisisitiza wokovu ni tunda la [[kifo]] na [[ufufuko]] wa [[Yesu Kristo]], aliyeleta [[baraka]] zote kumpitia [[Roho Mtakatifu]], kama vile [[wongofu]], [[kuzaliwa upya]], [[utakaso]], [[kufanywa mwana]], [[utakatifu]] na [[utukufu]].
 
Ndiyo utatuzi wa tatizo la dhambi uliotolewa na Mungu.
 
[[Siku ya mwisho]] matokeo ya wokovu yatahusu [[ulimwengu]] wote ambao utajumlishwa pamoja na [[historia]] yote katika [[Kristo]], aliye [[Alfa]] na [[Omega]] ([[Waraka kwa Warumi|Warumi]] 8:21,22; Waefeso 1:10).
 
==Wokovu katika [[teolojia]] ya Kikristo==
Kutokana na mwelekeo wa [[watu]] wa [[magharibi]], suala la masharimasharti ya wokovu limeshika nafasi kubwa katika [[teolojia]] kuanzia [[Agostino wa Hippo]], wakati masuala ya kinadharia zaidi yakiwatawalayakitawala Wakristo[[Ukristo wa mashariki]].
 
Ni suala hilo lililosababisha [[Matengenezo ya kiprotestanti]] katika [[karne ya 16]] na linaendelea kujadiliwa sana katika nchi zilipokea Ukristo kutoka nchi za magharibi.
Kutokana na mwelekeo wa watu wa magharibi, suala la mashari ya wokovu limeshika nafasi kubwa katika teolojia kuanzia [[Agostino wa Hippo]], wakati masuala ya kinadharia zaidi yakiwatawala Wakristo wa mashariki.
 
Hata hivyo katika miaka ya mwisho, Wakatoliki, [[Walutheri]], [[Wamethodisti]], [[Wakalvini]] na [[Waanglikana]] wamefaulu kukubaliana kuhusu suala hilo.
Ni suala hilo lililosababisha [[Matengenezo ya kiprotestanti]] katika [[karne ya 16]] na linaendelea kujadiliwa sana katika nchi zilipokea Ukristo kutoka nchi za magharibi.
 
==Tanbihi==