Sakramenti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Methodistcommunion6.jpg|right|thumb||Ekaristi inahesabiwa na madhehebu mengi kuwa sakramenti, kwa sababu iliagizwa wazi na Yesu mwenyewe katika [[karamu ya mwisho]].]]
{{Ukristo}}
'''Sakramenti''' katika [[mapokeo]] na [[imani]] ya [[Ukristo]] ni [[ishara]] na [[chombo]] cha [[neema]] ya [[Mungu]].
 
[[Jina]] hilo linatokana na [[neno]] la [[Kilatini]] "sacramentum" linalofanana na lile la [[Kigiriki]] "mysterion" ([[fumbo]]) .
 
Ni mafumbo kwa kuwa ishara ya nje (vitendo na vitu vinavyosindikizwa na maneno maalumu) zinamletea mtu neema zisizoonekana.
 
[[Wakatoliki]] wanasadiki zina uwezo huo bila ya kutegemea [[utakatifu]] au sifa nyingine ya mhudumu anayezitoa kwa mwamini. Zinatenda "ex opere operato" (kwa Kilatini "kwa tendo kutendeka").
 
Kwa ajili hiyo ni lazima sakramenti ziwe zimewekwa na [[Yesu Kristo]] ambaye alizikabidhi kwa [[Kanisa]] ili liendeleze [[kazi]] yake ya kutakasa [[binadamu]] wote mahali kote na nyakati zote.
 
== Historia ==
Katika [[milenia]] ya kwanza, neno lilitumika kwa [[ibada]] yoyote.
Kwa mfano, [[Agostino wa Hippo]] alisema Kanisa linaishi kwa sakramenti nyinginyingi, akiorodhesha [[maji ya baraka]], [[ndoa]], [[ekaristi]], [[mazishi]] n.k.
 
Baadaye jina likaja kutumika kwa namna ya pekee kutajia zile ibada zilizowekwa na [[Yesu]] mwenyewe, ingawa pengine linaendelea kutumiakutumika kwa maana pana ya "ishara na chombo". Kwa mfano, "Kanisa ni sakramenti ya [[umoja]]".
 
== Katika Kanisa Katoliki ==
{{Sakramenti}}
Kuanzia [[Thoma wa Akwino]] ([[karne ya 13]]) [[Kanisa Katoliki]] linaorodhesha sakramenti 7[[Saba (namba)|saba]] zilizowekwa na [[Yesu Kristo]]: [[Ubatizo]], [[Kipaimara]], [[Ekaristi]], [[Kitubio]], [[Mpako wa wagonjwa]], [[Daraja takatifu]] na [[Ndoa]].
 
Kwa njia yake Yesu anaingia katika [[maisha]] ya binadamu ili kuwaunganisha naye hasa katika fumbo la [[Pasaka]] (yaani [[Msalaba wa Yesu|kifo]] na [[Ufufuko wa Yesu|ufufuko]] wake]]).
 
[[Idadi]] hiyo ilithibitishwa na [[Mtaguso wa Trento]] katika [[karne ya 16]].
 
Sakramenti [[tatu]] za kwanza ni za kumuingiza mtu katika Ukristo.
 
Sakramenti [[mbili]] zinazofuata ni za [[uponyaji]] wa [[roho]] na [[mwili]].
 
Sakramenti mbili za mwisho ni za kuhudumia [[ushirika]] katika [[Kanisa]] na katika [[familia]] iliyo kanisa dogo.
 
Katika [[karne ya 20]], hasa katika [[Mtaguso wa pili wa Vatikano]], Kanisa Katoliki limejipanga upya katika kuhakikisha sakramenti ziadhimishwe kwa [[imani]].
Mstari 39:
 
== Kwa Waprotestanti ==
Kuanzia [[Martin Luther]], [[Waprotestanti]] walikataa kwa kiasi tofauti mtazamo huo wa mapokeo na kuadhimisha sakramenti zile tu zilizotajwa wazi katika [[Agano Jipya]] kuwa ziliagizwa na Yesu, hasa Ubatizo na [[Meza ya Bwana]].
 
==External links==
{{Wiktionary}}
*{{Catholic|no-icon=1|prescript=|wstitle=Sacraments}}
* [http://www.ewtn.com/library/councils/trent7.htm The Council of Trent on the Sacraments (Catholic)]
* [http://www.reephambenefice.org.uk/ministry.html Exploring the Sacraments in Anglican Ministry]
* [http://www.wcc-coe.org/wcc/what/faith/bem1.html Baptism, Eucharist, & Ministry] (an [[Christian ecumenism|ecumenical]] statement by the [[World Council of Churches]])
* [http://www.lasvegasorthodox.com/library/Orthodox_doctrine/sacrament.htm The Sacraments in the Orthodox Church]
 
{{mbegu-Ukristo}}
 
[[Jamii:Ukristo]]