Kasumba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|334x334px|Huko [[Marekani kulikuwa na kasumba ya watu weupe kuamini watu weusi wanapenda sana matikiti...'
 
+kiungo..
Mstari 1:
[[File:You can plainly see how miserable I am.jpg|thumb|334x334px|Huko [[Marekani]] kulikuwa na [[kasumba ya tikitimaji|kasumba ya watu weupe kuamini watu weusi wanapenda sana matikiti maji]]. Na hii picha ilikuwa katika moja ya kadi zao za posta mnamo 1911.]]
'''Kasumba''' ni wazo au fikra/imani ya watu wengie kuhusu kitu au kundi la watu fulani ya kwamba wanatabia fulani hasa kwa kumwonekano wao wa nje, ambapo kiasi fulani inaweza kuwa kweli au sio kweli.<ref>{{cite web|url=http://www.wordcentral.com/cgi-bin/student?book=Student&va=stereotype|title=Word Central Student Dictionary: Definition of Stereotype|publisher=Mirriam-Webster|accessdate=01/14/2013 }}</ref> Watu wenye kasumba ni aina fulani ya wale wanaopenda kuhukumu au kuchukia wenzao kwa sehemu fulani ya utu wao. Kasumba inaweza kutumiwa kwa sababu za kibaguzi dhidi ya mtu mwingine, au wakati mwingine hata uchale wa katika vipindi mbalimbali vya [[televisheni]]. Huko Tanzania kuna kasumba ya watu wengi kuamini [[Wazaramo]] wanapenda ngoma kuliko kitu chochote, ilhali kila kabila nchini humo lina ngoma zao za asili, ila tu, ikiwa zamu ya Mzaramo maneno tena mji mzima utajua. Kuna kasumba ya kuamini simu za Kichana mbovu, kasumba ya kuamini [[Wachagga]] wezi, [[Wahaya]] kujidai na kadhalika.