Alfa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q9887 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
{{Alfabeti ya Kigiriki kamili|herufi=Alpha uc lc}}
'''Alfa''' ''(piakwa [[Kiingereza]]: alpha)'' ni [[herufi]] ya kwanza ya [[Alfabeti ya Kigiriki]]. Inaandikwa kama '''Α''' (herufi kubwa chaya mwanzo) au '''α''' (herufi ndogo ya kawaida).
 
Katika [[Ugiriki ya Kale]] ilihesabiwa pia kama [[namba]] "1".
 
Jinsi ilivyo kawaida na herufi mbalimbali za kigiriki[[Kigiriki]] inatumiwa kama kifupi kwa ajili ya dhana mbalimbali katika [[hesabu]] na [[fisikia]]. Imejulikana hasa kama [[jina]] la [[pembe]] ya kwanza katika [[pembetatu]].
 
Katika [[astronomia]] inatumiwa kuanza hesabu ya [[nyota]] katika [[kundinyota]]. Kwa mfano nyota yetu jirani katika [[ulimwengu]] inaitwa "[[Alfa Centauri]]". Imeitwa hivyo kwa sababu inang'aa kushinda nyota zotazote za kundinyota ya Centaurus. Inayofuata ni "beta Centauri" na kadhalika.
 
Alfa ikiwa herufi ya kwanza ya alfabeti ya Kigiriki hutumiwa pia kwa kutaja mwanzo. Hivyo ni kinyume cha mwisho au [[omega]]. Usemi wa [[Biblia ya Kikristo]] hujulikana kuhusu [[Mungu]] kuwa ni "Alfa na Omega, mwanzo na mwisho" ([[Ufunuo wa Yohane]] 21:6).
 
[[Jamii:Alfabeti ya Kigiriki]]