Urika wa maaskofu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Bot: Migrating 2 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q3682856 (translate me) |
No edit summary |
||
Mstari 1:
{{Ukristo}}
'''Urika wa maaskofu''' ni [[msamiati]] wa [[teolojia]] ambao unatokeza [[imani]] ya [[Kanisa]] katika [[umoja]] wa [[sakramenti]] ya [[
[[Askofu|Maaskofu]] wote wanaunda kundi hilo kutokana na sakramenti waliyopokea, hata wasipoongoza [[dayosisi|jimbo]] lolote.
==Katika Kanisa Katoliki==
Katika utekelezaji wake, [[Kanisa Katoliki]] linadai daima uwepo wa mkuu wa kundi la maaskofu, yaani [[askofu]] wa [[Roma]] akiwa [[mwandamizi]] wa [[mtume Petro]] ("collegialitas cum et sub Petro"). Fundisho hilo, lililosisitizwa na [[Mtaguso wa pili wa Vatikano]], linatekelezwa hasa maaskofu wanapokutana katika [[Mtaguso mkuu]], lakini pia katika [[Sinodi]] ya maaskofu
Yanayohusu urika wa maaskofu katika [[Mkusanyo wa Sheria za Kanisa]] [[kanisa la Kilatini|la Kilatini]] wa [[mwaka]] [[1983]] yanapatikana katika kitabu II, sehemu II, kanuni 336-341.
{{mbegu-Ukristo}}
[[Category:Teolojia]]
[[Category:Sheria za Kanisa]]
[[Jamii:Kanisa Katoliki]]
|