Ungamo la Augsburg : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Augsburger-Reichstag.jpg|thumb|''Bunge la Augsburg'' kadiri ya [[Christian Beyer]].]]
'''Ungamo la Augsburg''' ni mafundisho yaliyotungwa mwaka [[1530]] wafuasi wa [[Martin Luther]] walipodaiwa kujieleza mbele ya [[Bunge]] la [[Dola Takatifu la Kiroma]] ili [[Ekumeni|kurudisha]] [[umoja wa Kanisa]]<ref>"There is one body and one Spirit just as you were called to the one hope that belongs to your call one Lord, one faith, one baptism, one God and Father of all, who is over all and through all and in all" [[Ef]] 4:5-6</ref>.
 
Lengo lake lilikuwa kuendeleza [[matengenezo ya Kiprotestanti]], lakini pia kudumisha [[umoja]] huo.
Mstari 9:
 
Ungamo hilo ni thibitisho tosha la nia ya Walutheri wa kwanza ya kubaki ndani ya [[Kanisa]] pekee linaloonekana.
 
==Tanbihi==
{{marejeo}}
 
{{mbegu-Ukristo}}