Sinodi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 33 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q111161 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
'''Sinodi''' (kwa [[Kiingereza]] "synod", kutoka [[Neno|maneno]] ya [[Kigiriki]] σύν, syun, "pamoja" na οδος, odos, "njia" (syunodos) yaani kufuata "njia ya pamoja", kwa hiyo "mkusanyiko" au "mkutano") ni [[mkutano]] wa [[Kanisa]] la [[Kikristo]] ambao huunganisha wawakilishi kutoka sehemu mbalimbali za Kanisa au eneo maalumu ndani ya Kanisa kama sinodi.
 
Maana ya neno lenyewe katika lugha asilia ya [[Kigiriki]] (σύνοδος = ''sýnodos'') ni kufuata "njia ya pamoja".
 
Kiasili sinodi ilikuwa mkutano wa ma[[askofu]] wa eneo fulani.
 
Wakati mwingine neno "[[mtaguso]]" hutumiwa kwa kutaja [[sinodi ya maaskofu]] wote, kwa mfano [[mtaguso mkuu]] ni mkutano wa maaskofu wote wa [[Kanisa Katoliki]] [[duniani]].
 
Mara nyingi mkutano mkuu wa [[dayosisi]] au wa jimbo la Kanisa huitwa pia "sinodi".
 
Katika [[madhehebu]] ya [[uprotestanti|Kiprotestanti]] sinodi hujumlisha w[[achungajiwachungaji]] pamoja na [[walei]].
Mara nyingi mkutano mkuu wa dayosisi au wa jimbo la Kanisa huitwa pia "sinodi".
 
[[Wapresbiteri]] hutumia neno "sinodi" kwa ajili ya mikoa yao ikitawaliwa na sinodi yaani mkutano wa wajumbe kutoka shirika mbalimbali.
Katika madhehebu ya Kiprotestanti sinodi hujumlisha w[[achungaji]] pamoja na [[walei]].
 
==Viungo vya nje==
Wapresbiteri hutumia neno "sinodi" kwa ajili ya mikoa yao ikitawaliwa na sinodi yaani mkutano wa wajumbe kutoka shirika.
*[http://www.gcatholic.org/dioceses/romancuria/da1.htm GCatholic.org]
*[http://news.bbc.co.uk/2/hi/europe/4301762.stm Pope Benedict holds first synod]
*[http://www.newadvent.org/cathen/14388a.htm "Synod"] at the Catholic Encyclopedia
*[http://www.synodofdiamper.com Synod of Diamper]
*[http://www.oeaw.ac.at/byzanz/repository/Preiser_Synodosendemusa_Hist96.pdf The synod of Constantinople in Byzantine times (in German)]
*[http://www.oeaw.ac.at/byzanz/repository/Preiser_WorkingPapers_Calculating_II.pdf Calculating the Synod? A network analysis of the synod of Constantinople in Late Byzantine times]
* [http://www.encyclopediaofukraine.com/pages/S/O/Sobor.htm ''Sobor'' in ''Encyclopedia of Ukraine'']
* [http://ocaphoto.oca.org/filetmp/2002/July/492/Detail/P1010005.jpg Photograph of American ''sobor'']
*[http://www.catholicnewsagency.com/synod14/ Synod of Bishops on the Family 2014]
{{mbegu-Ukristo}}
 
[[Jamii:Dini]]
[[Jamii:Ukristo]]
[[Jamii:Kanisa]]