Tofauti kati ya marekesbisho "Ufalme wa Byzanti"

224 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
d (Removing Link FA template (handled by wikidata) - The interwiki article is not featured)
[[Picha:Byzantine Empire animated.gif|thumb|right|350px|Mabadiliko ya eneo la Bizanti au Roma ya Mashariki]]
'''Ufalme wa ByzantiniByzanti''' (kwa [[Kigiriki]]: Βυζαντινή Αυτοκρατορία) ni [[neno]] linalotumika kutaja [[Dola la Roma]] lilivyoendelea katika [[mashariki]] yamwa eneo la [[Mediteranea]] katika [[Zama za Kati]], ukiwa na [[Makao makuu|makao yake makuu]] kwenye [[mji]] wa [[Konstantinopoli]] ulioitwa pia [[Bizanti]] na kutumia [[lugha]] ya [[Kigiriki]].
 
Katika baadhi ya maana, hasa kuhususianakuhusiana na wakati baada ya kuanguka kwa [[Dola la Roma Magharibi|Dola la Roma katika magharibi]] na mjini [[Roma]] penyewe hujulikana pia kama '''[[Dola la Roma Mashariki]]'''.
 
Wabizanti wenyewe walijiona ni bado Dola la Roma wakiendelealikiendelea tu. [[Watawala]] walitumia cheo cha "[[Kaisari]]" kama awali.
 
Hata hivyo, kwa wakati mwingi wa [[historia]] yake, ulifahamika na wenzao wa [[Ulaya magharibi]] kama “Ufalme wa Wagiriki” au “Ufalme wa Konstatinopoli” au "Rhômania".
 
Lakini majirani wa mashariki kama [[Waarabu]] waliendela kuwaita "Waroma" (kwa [[kar.Kiarabu]] روم ''rum'').
 
Bizanti ilipata mapigo mawili makubwa katika historia yake:
* [[Uvamizi]] wa [[Waarabu]] [[Waislamu]] kuanzia mwaka [[636]] uliosababisha kupotea kwa majimbo ya [[Afrika ya Kaskazini]], [[Misri]] na [[Shamu]]
* Uvamizi wa [[jeshi]] la Wakristo la [[WamisalabaVita vya msalaba]] walioteka mji wa Konstantinopoli mwaka [[1204]]
 
Shambulio hili lilisababisha [[nguvu]] za [[ufalme]] kufifia kabisa. Hata baada ya kurudi Konstantinopoli watawala wa Bizanti kurudi Konstantinopoli walikosa nguvu ya kujitetea kwa nguvukujihami dhidi ya [[Waturuki]] [[Waosmani]] walioteka Konstantinopoli mwaka [[1453]] na kumaliza kabisa Bizanti uliotunzauliokuwa umetunza [[urithi]] wa [[Roma ya kaleKale]] hadi wakati ule.
 
{{mbegu-historia}}
 
[[Jamii:Dola la Roma]]
[[Jamii:BizantiIstanbul]]
[[Jamii:Historia ya Ugiriki]]
[[Jamii:Historia ya Uturuki]]