Mwangaza unaoonekana : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
uangavu > Mwangaza |
||
Mstari 1:
'''
Umbali kati ya vitu kwenye anga la nje ni kubwa sana. Nyota kubwa kama iko mbali inaonekana hafifu, nyota ndogo kama iko karibu inaonekana angavu sana.
* '''
* '''
==Kipimo cha magnitudo==
Kwa kutaja kiasi cha
Kwa mfano nyota ya [[Sumbula]] ina magnitudo ya +1,04 mag. [[Rijili ya Jabari]] inayojulikana pia kama [[:en:Rigel|Rigel]] ina uanganvu unaoonekana wa +0.12 mag maana yake nuru yake ni kali zaidi.
Mstari 14:
Kama gimba la anga inang'aa sana ina [[namba hasi]] kwa mfano nyota angavu sana kama [[Shira]] ''(Sirius)'' na [[sayari]] za [[Zuhura]] ''(Venus)'' au [[Mshtarii]] ''(Jupiter)''.
Kipimo hakifuati mstari bali vizio vyake vinafuatana kwa hatua za [[logi]]. kwa hiyo ongezeko la
== Historia ya kipimo ==
Chanzo cha vipimo hivi ni kazi ya [[Hipparchos wa Nikaia]] mtaalamu wa [[Ugiriki ya Kale]]. <ref name=Belkora19.20>Leila Belkora, ''Minding the Heavens: The Story of our Discovery of the Milky Way'' (Bristol: Institute of Physics, 2003), pp. 19–20</ref> Aliorodhesha nyota kufuatana na uanganvu akazipanga nyota angavu zaidi kwenye daraja la kwanza, zile zilizonekana hafifu zaidi katika madaraja ya pili, tatu na kadhalika hadi daraja la sita. Orodha yake ilikuwa msingi wa kitabu mashuhuri cha [[Almagest]] cha [[Klaudio Ptolemaio]] kilichoendelea kuwa msingi wa utaalamu wa nyota hadi mwisho wa [[karne za kati]].
Baadaye skeli ya kale ilipanushwa pande zote mbili kwa kupokea pia magimba angavu zaidi au hafifu zaidi. Kufuatana na ufafanuzi wa mwaka 1850 ungavu wa nyota ya daraja la kwanza (1.0 mag) ni mara 100
== Mifano ya
{| class="wikitable" style="margin-left:2em"
|- class=
! Nyota
!
!
! Umbali<ref>Umbali katika astronomia mara nyingi hutajwa kwa [[parsec]]; kizio hiki ni sawa na [[miaka ya nuru]] 3.26</ref>
|-
|