Tufani : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 1:
[[Picha:Animated hurricane.gif|frame|right|Picha ya [[rada]] ya tufani upande wa kaskazini ya [[ikweta]]]]
[[Picha:Cyclone Catarina from the ISS on March 26 2004.JPG|right|thumb|Picha ya tufani jinsi inavyoonekana kutoka [[kituo cha anga]]]]
'''Tufani''' ni [[dhoruba]] yenye mwendo wa kuzunguka. Inasababishwa na eneo la shindikizo duni la [[hewa]] ambako [[upepo]]
Mzunguko huu hufuata mwendo wa [[saa]] katika maeneo ya [[kusini]]
== Chamchela na Kimbunga ==
Tufani ikitokea kwenye [[nchi kavu]] huitwa [[chamchela]].
Kwenye [[bahari]] za [[tropiki]] mzunguko unaongezeka nguvu kutoka [[nishati]] ya [[joto]] ya [[maji]] baharini kuwa dhoruba kali. Tufani hizi zinazoanza baharini huitwa [[kimbunga]]. Kimataifa kuna majina mengine yaliyo tofauti kila bahari kama vile:
* Katika eneo la [[Atlantiki]] (
* katika eno la [[Pasifiki]] Kaskazini kimbunga huitwa taifuni (en: typhoon)
* katika eneo la [[Bahari Hindi]] na Pasifiki Kusini jina la saikloni (en: cyclone) limetumiwa
== Tufani katika anga ya nje ==
Tufani
{{mbegu-sayansi}}
|