Tufani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Animated hurricane.gif|frame|right|Picha ya [[rada]] ya tufani upande wa kaskazini ya [[ikweta]]]]
[[Picha:Cyclone Catarina from the ISS on March 26 2004.JPG|right|thumb|Picha ya tufani jinsi inavyoonekana kutoka [[kituo cha anga]]]]
'''Tufani''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]) ni [[dhoruba]] yenye mwendo wa kuzunguka. Inasababishwa na eneo la shindikizo duni la [[hewa]] ambako [[upepo]] umeanza kuzunguka ndani yake.
 
Mzunguko huu hufuata mwendo wa [[saa]] katika maeneo ya [[kusini]] kwa [[ikweta]] na huenda kinyume cha mwendo wa saa katika maeneo ya kaskazini kwa ikweta.
Mstari 15:
 
== Tufani katika anga ya nje ==
Tufani zimetazamwa pia katika [[falaki]] kwenye [[sayari]] za [[mfumo wa jua]] letu kama [[Mshtarii]] na [[Meriki]]. Hasa doa jekundu kubwa lililoonekana kwenye Mshtarii tangu miakamwaka 178[[1830]] na hata kabla ya hapo limetambuliwa kuwa tufani.
 
{{mbegu-sayansi}}