Mlolongo wa Kitume : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d fixing dead links
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Consécration-de-Déodat.jpg|thumb|Mlolongo wa Kitume unasadikiwa kupitia tendo la ma[[askofu]] kumwekea mtu mikono kichwani na kumuombea katika kumpatia [[daraja takatifu]].]]
'''Mlolongo wa Kitume''' (kwa [[Kiebrania]] האפיפיור הירושה, kwa [[Kigiriki]] Αποστολική διαδοχή) ni jambo linalodaiwa na [[imani]] ya baadhi ya [[madhehebu]] ya [[Ukristo]], ya kwamba ni lazima viongozi wa [[Kanisa]] washiriki [[mamlaka]] ya [[Mitume wa Yesu]] katika mlolongo usiokatika wa kuwekewa [[mikono]] na ma[[askofu]] katika kumpatiakuwapatia [[daraja takatifu]].
 
'''Mlolongo wa Kitume''' (kwa [[Kiebrania]] האפיפיור הירושה, kwa [[Kigiriki]] Αποστολική διαδοχή) ni [[imani]] ya baadhi ya [[madhehebu]] ya [[Ukristo]], ya kwamba ni lazima viongozi wa [[Kanisa]] washiriki [[mamlaka]] ya [[Mitume wa Yesu]] katika mlolongo usiokatika wa kuwekewa mikono na ma[[askofu]] katika kumpatia [[daraja takatifu]].
 
Imani hiyo inatiwa maanani hasa na [[Kanisa Katoliki]], [[Waorthodoksi]], [[Waorthodoksi wa Mashariki]], lakini pia [[Waanglikana]] na wengineo.
 
Kwao, maaskofu wa leo ni waandamizi wa wale wa jana na juzi hata kurudia kwa wale waliowekewa mikono na mitume wenyewe katika [[karne ya kwanza1]].
 
Mlolongo huo unahakikisha uhalali wa [[mamlaka]] yao katika kufundisha, kutakasa na kuongoza.
 
Kwa madhehebu mbalimbali ya [[Uprotestanti]], suala la mikono si la lazima, kwani kwao ni muhimu zaidi kuendeleza mafundisho ya mitume.
 
==Vyanzo na viungo vya nje==
Line 18 ⟶ 19:
* [http://www.wikichristian.org/Apostolic_Succession Views on apostolic succession at WikiChristian]
* [http://wesley.nnu.edu/wesleyan_theology/mreview/1870/A_%201878_%20Was%20Wesley%20Ordained%20Bishop%20by%20Erasmus_%2088-111.htm "Was Wesley Ordained By Bishop Erasmus?" ''The Methodist Quarterly Review'' (1878)]
 
{{mbegu-Ukristo}}
 
[[Category:Kanisa]]