Jira : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Jira''' (kwa [[Kiingereza]]: "cumin") ni [[mbegu]] zenye [[rangi]] ya [[kahawia]] zinazotumika kama [[kiungo |kiungo]] pamoja na [[hiriki]], [[bizari]] (bizari nzima, bizari nyembamba) katika [[upishi]], hasa upishi wa [[pilau]].
 
Ilitajwa na [[Yesu]] ([[Math]] 23) kati ya vitu vidogo ambavyo [[walimu wa sheria]] na [[Mafarisayo]] walivilipia [[zaka]] kwa kusahau mambo muhimu zaidi kama kutenda kwa [[haki]] na [[huruma]].
 
{{mbegu-utamaduni}}