Mlozi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nyongeza mbegu
Masahihisho
Mstari 14:
| jenasi = ''[[Prunus]]''
| nusujenasi = ''Amygdalus''
| spishi= ''[[Prunus amygdalusdulcis|P. amygdalusdulcis]]'' <small>[[August Johann Georg Karl Batsch|Batsch]]</small>
| bingwa_wa_spishi = ([[Philip Miller|Mill.]]) [[David Allardyce Webb|D.A.Webb]]
}}
'''Mlozi''' ni [[mti]] mdogo wa jenasi ''[[Prunus]]'' ([[nusujenasi]] ''Amygdalus'') katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Rosaceae]]. [[Tunda|Matunda]] yake hayana jina, lakini [[lozi]] au [[badamu]] ni jina la [[kokwa]] ya tunda. Asili ya mti huu ni [[Mashariki ya Kati]] na [[Asia ya Kusini]], lakini sikuhizi unapandwa kila mahali katika kanda za nusutropiki.
 
==Picha==