Paul Pogba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Paul Labile Pogba (aliyezaliwa 15 Machi 1993) ni mchezaji wa soka wa Kifaransa ambaye anacheza klabu ya Manchester United katika ligi kuu ya uingere...'
 
d paul pogba akicheza manchester united
Mstari 1:
[[Picha:Paul Pogba 2017.jpg|thumb|paul pogba akicheza manchester united]]
Paul Labile Pogba (aliyezaliwa 15 Machi 1993) ni mchezaji wa [[soka]] wa [[Kifaransa]] ambaye anacheza klabu ya [[Manchester United]] katika ligi kuu ya uingereza na timu yake ya taifa ni Ufaransa. Yeye hufanya kazi hasa kama kiungo wa kati na ni vizuri kucheza nafasi zote ya mashambulizi na ulinzi. [3]