Tofauti kati ya marekesbisho "Helmeti"

33 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
 
[[Picha:White full-face-helmet.jpg|thumb|Helmeti]]
'''Helmeti''' (kutoka [[Kiingereza]] "helmet") ni [[kofia]] ngumu ya [[chuma]] au [[sandarusi]] ya kukinga [[kichwa]] kisidhuriwe na pigo, hasa ikitokea [[ajali]].
 
Huvaliwa na waendesha [[pikipiki]], wachimba [[migodi]], [[askari]] wawapo [[Vita|vitani]] n.k.