Ahera : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Ahera''' (kwa [[Kiingereza]] '''afterlife''', yaani '''life after death''' au '''hereafter''') ni [[neno]] linalotegemea [[imani]] ya kwamba baada ya [[mtu]] [[Kifo|kufariki dunia]] anaendelea kuishi kwa namna nyingine, si kwamba anakoma kabisa.
'''Ahera''' ni [[makazi]] ya [[roho]] ya [[binadamu]] baada ya [[kufa]] kwake walau mpaka [[siku]] ya [[unyakuo]] au [[kiyama]], kadiri ya [[imani]] ya [[dini]] mbalimbali.
 
Imani hiyo inaweza kutokana na [[hoja]] za [[falsafa]] lakini zaidi na mafundisho ya [[dini]]. Ili mtu aweze kukubali, ni lazima aone kwamba yeye si [[mwili]] tu, kwa sababu ni wazi kwamba kifo ni mwisho wa [[uhai]] wake [[duniani]] na kinaleta uharibifu wa mwili huo.
 
Wengi wanakubali [[ubora]] wa [[binadamu]] kati ya [[wanyama]] ni uwemo wa [[roho]] ndani yake, na kwamba ndiyo inayoweza kuendelea kuishi baada ya kutengana na mwili wake.
 
'''Ahera'''Hali hiyo ni [[makazi]]ile ya [[rohomzimu]] yana [[binadamumakazi]] baadayake yayanaitwa [[kufakuzimu]] kwake, walau mpaka [[siku]] ya [[unyakuokiyama]] au ya [[kiyamaunyakuo]], kadiri ya [[imani]] ya [[dini]] mbalimbali.
 
Wengi kati ya wanaomuamini [[Mungu]] [[Umoja wa Mungu|pekee]], kama vile [[Wayahudi]], [[Wakristo]] na [[Waislamu]], wanasadiki kwamba yeye anahukumu hizo roho na kuzipa [[tuzo]] au [[adhabu]], ama mara baada ya kufa ama [[siku]] ya [[ufufuko]]: ndiyo hali za [[paradiso]] na [[jehanamu]].
 
Wengine, hasa [[Wahindu]], wanasadiki kwamba baada ya kifo roho inatwaa mwili mwingine, wa mtu au [[kiumbehai]] yeyote kulingana na [[stahili]] zake katika [[maisha]] yaliyokwisha.
 
Kwa msingi huohuo, [[Wabuddha|Wabudha]] wanajitahidi kuachana na [[tamaa]] za kidunia ili hatimaye watoweke kabisa, wasizaliwe tena, kwa sababu kwao maisha ni [[mateso]].
 
Wengine, hasa [[wakanamungu]] na watu wasio na dini, wanaona hakuna haja ya kujitahidi hivyo, kwa sababu kwao kufa ni mwisho wa yote moja kwa moja: mtu akifa amekufa tu, hakuna tarajio lolote.
 
{{mbegu-dini}}