Steven Frayne : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Динамо - карты - i.jpg|alt=Steven Frayne|thumb|260x260px|Steven Frayne]]
'''Steven Frayne''' (aliyezaliwa tarehe 17 [[Desemba]] 1982), anajulikana kwa jina lake la "[[Dynamo]]", ni mfanya mazingaombwe wa Kiingereza, anayejulikana sana kwa maonyesho yake ya [[televisheni]] Dynamo: Mchawi Hakuna kisichowezekana ambayo ilifanyika [[Julai]] [[2011]] hadi [[Septemba]] [[2014]].