Muziki wa Kikristo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
Hivyo, tofauti na miziki mingine, lengo kuu si kuburudika na [[uzuri]] tu.
 
Namna zake ni tofautitofauti kadiri ya nyakati, [[madhehebu]], [[utamaduni]] n.k. Mojawapo, kati ya zile za zamani zaidi, inaitwa [[muziki wa Kigregori]], kwa sababu iliagizwa na [[Papa Gregori I]] itumike [[Kanisa|kanisani]].
 
Matumizi makubwa zaidi ni yale ya [[ibada]], ambapo waamini waliokusanyika wanaimba pamoja, mara nyingi wakiongozwa na [[kwaya]] na wakisindikizwa na [[ala za muziki]].
 
Matumizi mengine ni wakati wa kutoa mahubiri na mafundisho hata [[Barabara|barabarani]].
 
Pengine yanafanyika makongamano maalumu kwa wapenzi wa muziki huo, na vilevile siku hizi unarekodiwa kwa vifaa vya [[teknolojia]] hata kwa matumizi ya [[mtu]] binafsi.
 
==Tanbihi==