George Tyson : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Typo na kuboresha kiasi
Mstari 1:
'''George Tyson''' (jina la kuzaliwa '''George Otieno Okumu''') (1973-2014) alikuwa muongozaji wa filamu kutoka [[Kenya]]. Alifanya kazi hasa nchini [[Tanzania]]. Alijulikana kwa kuongoza [[filamu]] kama ''Girl[[Girlfriend (filamu)|Girlfriend]] Friend'' na ''[[Dilemma]]''. Tyson alifariki katika ajali ya gari tarehe [[30 Mei]], [[2014]] aliporudi kutoka Dodoma kwenda Dar es Salaam. Wakati wa kifo chake alikuwa na umri wa miaka 41. Girlfriend ilikuwa filamu yake iliyompa sifa kiasi kikubwa nchini Tanzania. Filamu ilitayarishwa na [[Sultan Tamba]] na kusambazwa na GMC Wasanii Promoters.
 
==Marejeo==